KANDA YA KASKAZINI

Kanda ya Kaskazini inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kanda hii ina majimbo saba ambayo ni Arusha Mashariki, Arusha Magharibi, Rift Valley, Kilimanjaro Mashariki, Kilimanjaro Magharibi, Tanga Mashariki na Tanga Magharibi. Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Kaskazini wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. Rashid Barnabas Mavekano Askofu wa Kanda +255 754 866 593 Askofu.Kanda-04@eagt.or.tz Rashid.Mavekano@eagt.or.tz
Rev. Emmanuel Mkumbo Kabese Makamu Askofu wa Kanda +255 767 721 700 Makamu.Askofu.Kanda-04@eagt.or.tz Emmanuel.Kabese@eagt.or.tz
Rev. Elibariki Mollel Ndokoko Katibu wa Kanda +255 767 187 718 Katibu.Kanda-04@eagt.or.tz Elibariki.Ndokoko@eagt.or.tz
Rev. Clement Lutobeka Basombolele Mhazina wa Kanda +255 715 629 312 Mhazina.Kanda-04@eagt.or.tz Clement.Basombolele@eagt.or.tz