KANDA YA ZIWA MASHARIKI

Kanda ya Ziwa Mashariki inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Mwanza, Mara na Simiyu. Kanda hii ina majimbo kumi na tatu ambayo ni Mwanza Kaskazini, Mwanza Kusini, Misungwi, Kwimba, Magu, Ukerewe, Maswa, Bariadi, Bunda, Musoma, Rorya, Tarime na Serengeti. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Ziwa Mashariki wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. George Gecha Makongo Askofu wa Kanda +255 755 547 231 Askofu.Kanda-07@eagt.or.tz George.Gecha@eagt.or.tz
Rev. Joshua Maswi Marema Makamu Askofu wa Kanda +255 767 478 006 Makamu.Askofu.Kanda-07@eagt.or.tz Joshua.Maswi@eagt.or.tz
Rev. Lameck Nkumba Nzula Katibu wa Kanda +255 752 070 255 Katibu.Kanda-07@eagt.or.tz Lameck.Nkumba@eagt.or.tz
Rev. Musa Isaya Onyango Mhazina wa Kanda +255 758 177 338 Mhazina.Kanda-07@eagt.or.tz Musa.Onyango@eagt.or.tz