KANDA YA RUVUMA

Kanda ya Ruvuma inahudumia mkoa wa kijiografia wa Ruvuma nchini Tanzania. Kanda hii ina majimbo sita ambayo ni Songea, Nyasa, Mbinga Namtumbo, Tunduru na Madaba. Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Ruvuma wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. Alois Martinus Marwa Askofu wa Kanda +255 676 096 175 Askofu.Kanda-14@eagt.or.tz Alois.Marwa@eagt.or.tz
Rev. Florian Francis Mapunda Makamu Askofu wa Kanda +255 674 819 531 Makamu.Askofu.Kanda-14@eagt.or.tz Florian.Mapunda@eagt.or.tz
Rev. David Kamalisya Mwaipopo Katibu wa Kanda +255 755 863 087 Katibu.Kanda-14@eagt.or.tz David.Mwaipopo@eagt.or.tz
Rev. Ezekiel Phillipo Komba Mhazina wa Kanda +255 757 289 338 Mhazina.Kanda-14@eagt.or.tz Ezekiel.Komba@eagt.or.tz