KANDA YA ZANZIBAR

Kanda ya Zanzibar inahudumia Zanzibar ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 50.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Zanzibar wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. Samson Leonard Masasa Askofu wa Kanda +255 767 708 026 Askofu.Kanda-15@eagt.or.tz Samson.Masasa@eagt.or.tz
Rev. Anthony Samson Kidai Makamu Askofu wa Kanda +255 712 074 058 Makamu.Askofu.Kanda-15@eagt.or.tz Anthony.Kidai@eagt.or.tz
Rev. Iman Leonard Masasa Katibu wa Kanda +255 712 079 731 Katibu.Kanda-15@eagt.or.tz Iman.Masasa@eagt.or.tz
Rev. Theobald Onesmo Mvungi Mhazina wa Kanda +255 770 373 705 Mhazina.Kanda-15@eagt.or.tz Theobald.Mvungi@eagt.or.tz