KANDA YA KATI
Kanda ya Kati inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Dodoma, Singida, na Manyara.
Kanda hii ina majimbo kumi ambayo ni Dodoma Mashariki, Dodoma Magharibi, Kongwa, Mpwapwa, Dodoma Kusini, Singida Kaskazini, Singida Kati, Singida Kusini, Manyara Mashariki (Kiteto) na Manyara Magharibi (Babati). Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.
Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Kati wanaohudumu katika kipindi hiki:
Rev. John Joseph Mafwimbo
(Askofu wa Kanda)
(Askofu wa Kanda)
Rev. Musa Lesmon Masero
(Makamu Askofu wa Kanda)
(Makamu Askofu wa Kanda)
Rev. Julius Tito Nassary
(Katibu wa Kanda)
(Katibu wa Kanda)
Rev. Wilson Martin Mkoma
(Mhazina wa Kanda)
(Mhazina wa Kanda)
| Jina | Cheo | Namba ya Simu | Barua-pepe ya Ofisi | Barua-pepe Binafsi |
|---|---|---|---|---|
| Rev. John Joseph Mafwimbo | Askofu wa Kanda | +255 754 472 407 | Askofu.Kanda-01@eagt.or.tz | John.Mafwimbo@eagt.or.tz |
| Rev. Musa Lesmon Masero | Makamu Askofu wa Kanda | +255 655 432 723 | Makamu.Askofu.Kanda-01@eagt.or.tz | Musa.Masero@eagt.or.tz |
| Rev. Julius Tito Nassary | Katibu wa Kanda | +255 754 654 606 | Katibu.Kanda-01@eagt.or.tz | Julius.Nassary@eagt.or.tz |
| Rev. Wilson Martin Mkoma | Mhazina wa Kanda | +255 755 550 536 | Mhazina.Kanda-01@eagt.or.tz | Wilson.Mkoma@eagt.or.tz |