KANDA YA KUSINI
Kanda ya Kusini inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Mtwara na Lindi.
Kanda hii ina majimbo matano ambayo ni Mtwara, Nanyumbu, Nachingwea, Masasi na Lindi. Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.
Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Kusini wanaohudumu katika kipindi hiki:
Rev. Godfrey William Mraha
(Askofu wa Kanda)
(Askofu wa Kanda)
Rev. John John Luoga
(Makamu Askofu wa Kanda)
(Makamu Askofu wa Kanda)
Rev. Godfrey Michael Mchaka
(Katibu wa Kanda)
(Katibu wa Kanda)
Rev. Daniel Gabriel Mwakila
(Mhazina wa Kanda)
(Mhazina wa Kanda)
| Jina | Cheo | Namba ya Simu | Barua-pepe ya Ofisi | Barua-pepe Binafsi |
|---|---|---|---|---|
| Rev. Godfrey William Mraha | Askofu wa Kanda | +255 714 582 025 | Askofu.Kanda-05@eagt.or.tz | Godfrey.Mraha@eagt.or.tz |
| Rev. John John Luoga | Makamu Askofu wa Kanda | +255 782 958 895 | Makamu.Askofu.Kanda-05@eagt.or.tz | John.Luoga@eagt.or.tz |
| Godfrey Michael Mchaka | Katibu wa Kanda | +255 784 320 735 | Katibu.Kanda-05@eagt.or.tz | Godfrey.Mchaka@eagt.or.tz |
| Rev. Daniel Gabriel Mwakila | Mhazina wa Kanda | +255 684 581 509 | Mhazina.Kanda-05@eagt.or.tz | Daniel.Mwakila@eagt.or.tz |