KURUGENZI YA MIPANGO, MIRADI NA MAENDELEO

Kurungenzi ya Mipango, Miradi na Maendeleo (MIMA) ni Kurugenzi mtambuka ya Kanisa la EAGT. Lengo kuu la Kurugenzi hii ni kuandaa na kusimamia utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Kanisa, mipango mingine ya muda mfupi na wa kati, na miradi ya maendeleo ya Kanisa. Shughuli za Kurugenzi hii ni za kiuratibu ili kuhakikisha kwamba Kanisa letu linapata maendeleo endelevu katika nyanja zote za kiroho, kimwili na kijamii. Kwa sasa, Kurungenzi ya MIMA inasimamia utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Kanisa la EAGT wa mwaka 2020 hadi 2034. Kurugenzi hii ina uongozi kuanzia ngazi ya Taifa, Kanda, Jimbo na Kanisa la mahali pamoja.

Wafuatao ni Viongozi wa Kitaifa wa Kurungenzi ya MIMA wanaohudumu katika kipindi hiki:

Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. Prof. Fulgence Archadi Binagwa Mkurugenzi - Taifa +255 754 468 168 Mkurugenzi.MIMA-Taifa@eagt.or.tz Fulgence.Binagwa@eagt.or.tz
Rev. Benedict Xavery Kazimoto Makamu Mkurugenzi - Taifa +255 754 623 021 Makamu.Mkurugenzi.MIMA-Taifa@eagt.or.tz Benedict.Kazimoto@eagt.or.tz
Dr. Thadei Andrew Kiwango Katibu - Taifa +255 754 037 602 Katibu.MIMA-Taifa@eagt.or.tz Thadei.Kiwango@eagt.or.tz
Mr. Kija Medard Jihinga Mhazina - Taifa +255 784 643 385 Mhazina.MIMA-Taifa@eagt.or.tz Kija.Jihinga@eagt.or.tz