KANDA YA ZIWA RUKWA

Kanda ya Ziwa Rukwa inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Rukwa na Katavi. Kanda hii ina majimbo saba ambayo ni Sumbawanga, Mpanda, Mlele, Kalambo, Nkasi, Kwela na Inyonga. Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Ziwa Rukwa wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. Silvester Chimwala Msumeno Askofu wa Kanda +255 767 332 210 Askofu.Kanda-09@eagt.or.tz Silvester.Msumeno@eagt.or.tz
Rev. Nobert Yoronimo Mwanisawa Makamu Askofu wa Kanda +255 766 178 507 Makamu.Askofu.Kanda-09@eagt.or.tz Nobert.Mwanisawa@eagt.or.tz
Rev. Henry Thadayo Chomola Katibu wa Kanda +255 754 895 898 Katibu.Kanda-09@eagt.or.tz Henry.Chomola@eagt.or.tz
Rev. Adamson Lazaro Mwakatumbula Mhazina wa Kanda +255 756 646 586 Mhazina.Kanda-09@eagt.or.tz Adamson.Mwakatumbula@eagt.or.tz