KURUGENZI YA UIMBAJI, SIFA NA KUABUDU
Kurungenzi ya Uimbaji, Sifa na Kuabudu) ni Kurugenzi mtambuka ya Kanisa la EAGT. Lengo kuu la Kurugenzi hii ni kuliwezesha Kanisa kumsifu na kumwabudu Mungu katika roho na kweli; kutunga na kuimba nyimbo zenye maudhui sahihi kiroho na ubora wa hali ya juu; na kupiga ala za muziki kwa ubora na weledi. Aidha, Kurugenzi hii ina jukumu la kutoa mafunzo kwa kwaya na waimbaji wote wa Kanisa la EAGT, na kusimamia maadili yao ili kuhakikisha kwamba wanamsifu, kumuabudu na kumuimbia Mungu kwa uzuri wa utakatifu. Kurugenzi hii ina uongozi kuanzia ngazi ya Taifa, Kanda, Jimbo na Kanisa la mahali pamoja.
Wafuatao ni Viongozi wa Kitaifa wa Kurungenzi ya KUSK wanaohudumu katika kipindi hiki:
Rev. Gideon Anyelwisye Malatila
(Mkurugenzi - Taifa)
(Mkurugenzi - Taifa)
Rev. Phaustine Michael Mwaselela
(Makamu Mkurugenzi - Taifa)
(Makamu Mkurugenzi - Taifa)
Rev. Fanuel Richard Mushi
(Katibu - Taifa)
(Katibu - Taifa)
Mrs. Priscila Emmanuel Massao
(Mhazina - Taifa)
(Mhazina - Taifa)
| Jina | Cheo | Namba ya Simu | Barua-pepe ya Ofisi | Barua-pepe Binafsi |
|---|---|---|---|---|
| Rev. Gideon Anyelwisye Malatila | Mkurugenzi - Taifa | +255 756 658 139 | Mkurugenzi.KUSK-Taifa@eagt.or.tz | Gideon.Malatila@eagt.or.tz |
| Rev. Phaustine Michael Mwaselela | Makamu Mkurugenzi - Taifa | +255 765 331 216 | Makamu.Mkurugenzi.KUSK-Taifa@eagt.or.tz | Phaustine.Mwaselela@eagt.or.tz |
| Rev. Fanuel Richard Mushi | Katibu - Taifa | +255 765 907 333 | Katibu.KUSK-Taifa@eagt.or.tz | Fanuel.Mushi@eagt.or.tz |
| Mrs. Priscila Emmanuel Massao | Mhazina - Taifa | +255 767 184 818 | Mhazina.KUSK-Taifa@eagt.or.tz | Priscila.Massao@eagt.or.tz |