KURUGENZI YA ELIMU NA MAFUNZO

Kurungenzi ya Elimu na Mafunzo (KEM) ni Kurugenzi mtambuka ya Kanisa la EAGT. Lengo kuu la Kurugenzi hii ni kuandaa mitaala na masomo mbalimbali ya kiroho kwa kufundisha Neno la Mungu kwa watu wa makundi mbalimbali katika Kanisa la EAGT. Lengo kuu la Kurugenzi hii ni kuhakikisha kwamba Wakristo wanapata mafundisho halisi ya kiroho, yasiyoghoshiwa, na yenye ufunuo na uvuvio wa Roho Mtakatifu, ili waweze kukua kiroho hata kufikia kimo cha Kristo. Miongoni mwa machapisho muhimu yanayotolewa na Kurugenzi ya KEM ni Vitabu vya Shule ya Jumapili kwa makundi mbalimbali. Kupakua maadhi ya machapisho ya Kurugenzi ya KEM, Bonyeza hapa.

Wafuatao ni Viongozi wa Kitaifa wa Kurungenzi ya KEM wanaohudumu katika kipindi hiki:

Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. Dr. Chubwa Vitus Gwanko Mkurugenzi - Taifa +255 786 255 855 Mkurugenzi.KEM-Taifa@eagt.or.tz Chubwa.Gwanko@eagt.or.tz
Rev. Dr. Wisdom Mark Gowele Makamu Mkurugenzi - Taifa +255 755 546 772 Makamu.Mkurugenzi.KEM-Taifa@eagt.or.tz Wisdom.Gowele@eagt.or.tz
Rev. Dr. Oballa Peter Jahnes Katibu - Taifa +255 754 760 923 Katibu.KEM-Taifa@eagt.or.tz Oballa.Jahnes@eagt.or.tz
Rev. Dr. Oballa Peter Jahnes Mhazina - Taifa +255 754 760 923 Mhazina.KEM-Taifa@eagt.or.tz Oballa.Jahnes@eagt.or.tz