KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI MASHARIKI

Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Mashariki inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Iringa na Njombe. Kanda hii ina majimbo tisa ambayo ni Iringa Kaskazini, Iringa Kusini, Mufindi Kaskazini, Mufindi Kusini, Makambako, Njombe, Wanging’ombe, Makete na Ludewa. Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Mashariki wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. Alfred Amos Mwagike Askofu wa Kanda +255 764 047 437 Askofu.Kanda-12@eagt.or.tz mkurugenzi.mima-taifa@eagt.or.tz
Rev. Ezekiel Yona Mwenda Makamu Askofu wa Kanda +255 754 652 629 Makamu.Askofu.Kanda-12@eagt.or.tz Ezekiel.Mwenda@eagt.or.tz
Rev. Michael Aloyce Kilasi Katibu wa Kanda +255 767 379 737 Katibu.Kanda-12@eagt.or.tz Michael.Kilasi@eagt.or.tz
Rev. Osmond Sebastin Mlowe Mhazina wa Kanda +255 763 637 586 Mhazina.Kanda-12@eagt.or.tz Osmond.Mlowe@eagt.or.tz