KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI KATI

Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Kati inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Mbeya na Songwe. Kanda hii ina majimbo kumi na moja ambayo ni Mbeya Mashariki, Mbeya Magharibi, Mbarali, Kyela, Chunya, Rungwe, Ileje, Momba, Mbozi, Vwawa na Umalila. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Kati wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. Simon Andindile Mwakaliku Askofu wa Kanda +255 754 368 543 Askofu.Kanda-10@eagt.or.tz Simon.Mwakaliku@eagt.or.tz
Rev. Emmanuel Kasarwike Mwaijala Makamu Askofu wa Kanda +255 755 775 434 Makamu.Askofu.Kanda-10@eagt.or.tz Emmanuel.Mwaijala@eagt.or.tz
Rev. Andongwisye Mwafubela Bukuku Katibu wa Kanda +255 764 600 414 Katibu.Kanda-10@eagt.or.tz Andongwisye.Bukuku@eagt.or.tz
Rev. Alfred Paulo Mahenge Mhazina wa Kanda +255 744 456 351 Mhazina.Kanda-10@eagt.or.tz Alfred.Mahenge@eagt.or.tz