KANDA YA MAGHARIBI

Kanda ya Magharibi inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Tabora na Kigoma. Kanda hii ina majimbo nane ambayo ni Tabora Mashariki, Tabora Magharibi, Tabora Kaskazini, Tabora Kusini, Kigoma, Kasulu, Kibondo na Katumba(Makazi). Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa.Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Magharibi wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. Charles Mahuna Mponda Askofu wa Kanda +255 756 607 602 Askofu.Kanda-03@eagt.or.tz Charles.Mponda@eagt.or.tz
Rev. Wandali Ndonka Ntamdyanko Makamu Askofu wa Kanda +255 759 503 675 Makamu.Askofu.Kanda-03@eagt.or.tz Wandali.Ntamdyanko@eagt.or.tz
Rev. Peter Tito Madaha Katibu wa Kanda +255 766 779 068 Katibu.Kanda-03@eagt.or.tz Peter.Madaha@eagt.or.tz
Rev. Fredirick Raymond Kasomo Mhazina wa Kanda +255 754 813 643 Mhazina.Kanda-03@eagt.or.tz Fredirick.Kasomo@eagt.or.tz