KANDA YA KASKAZINI
Kanda ya Kaskazini inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kanda hii ina majimbo saba ambayo ni Arusha Mashariki, Arusha Magharibi, Rift Valley, Kilimanjaro Mashariki, Kilimanjaro Magharibi, Tanga Mashariki na Tanga Magharibi. Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa.
Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.
Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Kaskazini wanaohudumu katika kipindi hiki:
Rev. Rashid Barnabas Mavekano
(Askofu wa Kanda)
(Askofu wa Kanda)
Rev. Emmanuel Mkumbo Kabese
(Makamu Askofu wa Kanda)
(Makamu Askofu wa Kanda)
Rev. Elibariki Mollel Ndokoko
(Katibu wa Kanda)
(Katibu wa Kanda)
Rev. Clement Lutobeka Basombolele
(Mhazina wa Kanda)
(Mhazina wa Kanda)
| Jina | Cheo | Namba ya Simu | Barua-pepe ya Ofisi | Barua-pepe Binafsi |
|---|---|---|---|---|
| Rev. Rashid Barnabas Mavekano | Askofu wa Kanda | +255 754 866 593 | Askofu.Kanda-04@eagt.or.tz | Rashid.Mavekano@eagt.or.tz |
| Rev. Emmanuel Mkumbo Kabese | Makamu Askofu wa Kanda | +255 767 721 700 | Makamu.Askofu.Kanda-04@eagt.or.tz | Emmanuel.Kabese@eagt.or.tz |
| Rev. Elibariki Mollel Ndokoko | Katibu wa Kanda | +255 767 187 718 | Katibu.Kanda-04@eagt.or.tz | Elibariki.Ndokoko@eagt.or.tz |
| Rev. Clement Lutobeka Basombolele | Mhazina wa Kanda | +255 715 629 312 | Mhazina.Kanda-04@eagt.or.tz | Clement.Basombolele@eagt.or.tz |