KANDA YA MASHARIKI
Kanda ya Mashariki inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Dar es Salaam na Pwani. Kanda hii ina majimbo nane ambayo ni Ubungo, Kinondoni, Ilala, Ukonga, Temeke, Kigamboni, Bagamoyo na Kibaha. anga Mashariki na Tanga Magharibi. Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.
Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Mashariki wanaohudumu katika kipindi hiki:
Rev. Dr.Chubwa Vitus Gwanko
(Askofu wa Kanda)
(Askofu wa Kanda)
Rev. Phillemon Kamwagi Phiri
(Makamu Askofu wa Kanda)
(Makamu Askofu wa Kanda)
Rev Dr. Oballa Peter Jahnes
(Katibu wa Kanda)
(Katibu wa Kanda)
Rev. Asheri Isaka Mwaisunga
(Mhazina wa Kanda)
(Mhazina wa Kanda)
| Jina | Cheo | Namba ya Simu | Barua-pepe ya Ofisi | Barua-pepe Binafsi |
|---|---|---|---|---|
| Rev. Dr. Chubwa Vitus Gwanko | Askofu wa Kanda | +255 786 255 855 | Askofu.Kanda-02@eagt.or.tz | Chubwa.Gwanko@eagt.or.tz |
| Rev. Phillemon Kamwagi Phiri | Makamu Askofu wa Kanda | +255 717 502 670 | Katibu.Kanda-02@eagt.or.tz | Philemon.Phiri@eagt.or.tz |
| Rev. Dr. Oballa Peter Jahnes | Katibu wa Kanda | +255 754 760 923 | Katibu.Kanda-02@eagt.or.tz | Oballa.Jahnes@eagt.or.tz |
| Rev. Asheri Isaka Mwaisunga | Mhazina wa Kanda | +255 769 505 282 | Mhazina.Kanda-02@eagt.or.tz | Asheri.Mwaisunga@eagt.or.tz |