KANDA YA ZIWA MAGHARIBI

Kanda ya Ziwa Magharibi inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Shinyanga, Geita, Kagera, na sehemu ya mkoa wa Mwanza(Sengerema). Kanda hii ina majimbo kumi na moja ambayo ni Shinyanga, Kahama, Geita, Bukombe, Nyang'hwale, Ushetu, Sengerema, Bukoba, Biharamulo, Karagwe na Ngara. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Ziwa Magharibi wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. Raphael Machimu Nhungo Askofu wa Kanda +255 769 344 977 Askofu.Kanda-08@eagt.or.tz Raphael.Machimu@eagt.or.tz
Rev. Zakaria Seni Ng'hungulime Makamu Askofu wa Kanda +255 765 347 876 Makamu.Askofu.Kanda-08@eagt.or.tz Zakaria.Seni@eagt.or.tz
Rev. John Lanya Okong'o Katibu wa Kanda +255 754 322 227 Katibu.Kanda-08@eagt.or.tz John.Lanya@eagt.or.tz
Rev. Winfrida James Rwezaura Mhazina wa Kanda +255 754 888 137 Mhazina.Kanda-08@eagt.or.tz Winfrida.Rwezaura@eagt.or.tz