KANDA YA KATI

Kanda ya Kati inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Dodoma, Singida, na Manyara. Kanda hii ina majimbo kumi ambayo ni Dodoma Mashariki, Dodoma Magharibi, Kongwa, Mpwapwa, Dodoma Kusini, Singida Kaskazini, Singida Kati, Singida Kusini, Manyara Mashariki (Kiteto) na Manyara Magharibi (Babati). Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Kati wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. John Joseph Mafwimbo Askofu wa Kanda +255 754 472 407 Askofu.Kanda-01@eagt.or.tz John.Mafwimbo@eagt.or.tz
Rev. Musa Lesmon Masero Makamu Askofu wa Kanda +255 655 432 723 Makamu.Askofu.Kanda-01@eagt.or.tz Musa.Masero@eagt.or.tz
Rev. Julius Tito Nassary Katibu wa Kanda +255 754 654 606 Katibu.Kanda-01@eagt.or.tz Julius.Nassary@eagt.or.tz
Rev. Wilson Martin Mkoma Mhazina wa Kanda +255 755 550 536 Mhazina.Kanda-01@eagt.or.tz Wilson.Mkoma@eagt.or.tz