KURUGENZI YA MIPANGO, MIRADI NA MAENDELEO
Kurungenzi ya Mipango, Miradi na Maendeleo (MIMA) ni Kurugenzi mtambuka ya Kanisa la EAGT. Lengo kuu la Kurugenzi hii ni kuandaa na kusimamia utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Kanisa, mipango mingine ya muda mfupi na wa kati, na miradi ya maendeleo ya Kanisa. Shughuli za Kurugenzi hii ni za kiuratibu ili kuhakikisha kwamba Kanisa letu linapata maendeleo endelevu katika nyanja zote za kiroho, kimwili na kijamii. Kwa sasa, Kurungenzi ya MIMA inasimamia utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Kanisa la EAGT wa mwaka 2020 hadi 2034. Kurugenzi hii ina uongozi kuanzia ngazi ya Taifa, Kanda, Jimbo na Kanisa la mahali pamoja.
Wafuatao ni Viongozi wa Kitaifa wa Kurungenzi ya MIMA wanaohudumu katika kipindi hiki:
Rev. Prof. Fulgence Archadi Binagwa
(Mkurugenzi - Taifa)
(Mkurugenzi - Taifa)
Rev. Benedict Xavery Kazimoto
(Makamu Mkurugenzi - Taifa)
(Makamu Mkurugenzi - Taifa)
Dr. Thadei Andrew Kiwango
(Katibu - Taifa)
(Katibu - Taifa)
Mr. Kija Medard Jihinga
(Mhazina - Taifa)
(Mhazina - Taifa)
| Jina | Cheo | Namba ya Simu | Barua-pepe ya Ofisi | Barua-pepe Binafsi |
|---|---|---|---|---|
| Rev. Prof. Fulgence Archadi Binagwa | Mkurugenzi - Taifa | +255 754 468 168 | Mkurugenzi.MIMA-Taifa@eagt.or.tz | Fulgence.Binagwa@eagt.or.tz |
| Rev. Benedict Xavery Kazimoto | Makamu Mkurugenzi - Taifa | +255 754 623 021 | Makamu.Mkurugenzi.MIMA-Taifa@eagt.or.tz | Benedict.Kazimoto@eagt.or.tz |
| Dr. Thadei Andrew Kiwango | Katibu - Taifa | +255 754 037 602 | Katibu.MIMA-Taifa@eagt.or.tz | Thadei.Kiwango@eagt.or.tz |
| Mr. Kija Medard Jihinga | Mhazina - Taifa | +255 784 643 385 | Mhazina.MIMA-Taifa@eagt.or.tz | Kija.Jihinga@eagt.or.tz |