KANDA YA MOROGORO

Kanda ya Morogoro inahudumia mkoa wa kijiografia wa Morogoro nchini Tanzania. Kanda hii ina majimbo saba ambayo ni Morogoro, Kilombero, Mlimba, Mvomero, Gairo, Kilosa na Ulanga (Malinyi). Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa.Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.

 

Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Morogoro wanaohudumu katika kipindi hiki:
Jina Cheo Namba ya Simu Barua-pepe ya Ofisi Barua-pepe Binafsi
Rev. Agnell Amekuti Mguluka Askofu wa Kanda +255 763 201 750 Askofu.Kanda-13@eagt.or.tz Agnell.Mguluka@eagt.or.tz
Rev. Peter Denes Maninyanguru Makamu Askofu wa Kanda +255 759 875 155 Makamu.Askofu.Kanda-13@eagt.or.tz Peter.Maninyanguru@eagt.or.tz
Rev. Alex Ngereza Maunde Katibu wa Kanda +255 715 059 611 Katibu.Kanda-13@eagt.or.tz Alex.Maunde@eagt.or.tz
Rev. George Manase Lyanga Mhazina wa Kanda +255 714 817 314 Mhazina.Kanda-13@eagt.or.tz George.Lyanga@eagt.or.tz