KANDA YA ZIWA RUKWA
Kanda ya Ziwa Rukwa inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania: Rukwa na Katavi. Kanda hii ina majimbo saba ambayo ni Sumbawanga, Mpanda, Mlele, Kalambo, Nkasi, Kwela na Inyonga. Kupata taarifa kuhusu majina na mawasiliano ya Viongozi wanaohudumu katika majimbo yaliyo katika Kanda hii bonyeza hapa. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.
Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Ziwa Rukwa wanaohudumu katika kipindi hiki:
Rev. Silvester Chimwala Msumeno
(Askofu wa Kanda)
(Askofu wa Kanda)
Rev. Nobert Yoronimo Mwanisawa
(Makamu Askofu wa Kanda)
(Makamu Askofu wa Kanda)
Rev. Henry Thadayo Chomola
(Katibu wa Kanda)
(Katibu wa Kanda)
Rev. Adamson Lazaro Mwakatumbula
(Mhazina wa Kanda)
(Mhazina wa Kanda)
| Jina | Cheo | Namba ya Simu | Barua-pepe ya Ofisi | Barua-pepe Binafsi |
|---|---|---|---|---|
| Rev. Silvester Chimwala Msumeno | Askofu wa Kanda | +255 767 332 210 | Askofu.Kanda-09@eagt.or.tz | Silvester.Msumeno@eagt.or.tz |
| Rev. Nobert Yoronimo Mwanisawa | Makamu Askofu wa Kanda | +255 766 178 507 | Makamu.Askofu.Kanda-09@eagt.or.tz | Nobert.Mwanisawa@eagt.or.tz |
| Rev. Henry Thadayo Chomola | Katibu wa Kanda | +255 754 895 898 | Katibu.Kanda-09@eagt.or.tz | Henry.Chomola@eagt.or.tz |
| Rev. Adamson Lazaro Mwakatumbula | Mhazina wa Kanda | +255 756 646 586 | Mhazina.Kanda-09@eagt.or.tz | Adamson.Mwakatumbula@eagt.or.tz |