KANDA YA ZIWA MASHARIKI
Kanda ya Ziwa Mashariki inahudumia mikoa ifuatayo ya kijiografia ya Tanzania:
Mwanza, Mara na Simiyu. Kanda hii ina majimbo kumi na tatu ambayo ni Mwanza Kaskazini, Mwanza Kusini, Misungwi, Kwimba, Magu, Ukerewe, Maswa, Bariadi, Bunda, Musoma, Rorya, Tarime na Serengeti. Kwa takwimu za mwisho wa mwaka 2025, Kanda hii ina makanisa 500.
Wafuatao ni Viongozi wa Kanda ya Ziwa Mashariki wanaohudumu katika kipindi hiki:
Rev. George Gecha Makongo
(Askofu wa Kanda)
(Askofu wa Kanda)
Rev. Joshua Maswi Marema
(Makamu Askofu wa Kanda)
(Makamu Askofu wa Kanda)
Rev. Lameck Nkumba Nzula
(Katibu wa Kanda)
(Katibu wa Kanda)
Rev. Musa Isaya Onyango
(Mhazina wa Kanda)
(Mhazina wa Kanda)
| Jina | Cheo | Namba ya Simu | Barua-pepe ya Ofisi | Barua-pepe Binafsi |
|---|---|---|---|---|
| Rev. George Gecha Makongo | Askofu wa Kanda | +255 755 547 231 | Askofu.Kanda-07@eagt.or.tz | George.Gecha@eagt.or.tz |
| Rev. Joshua Maswi Marema | Makamu Askofu wa Kanda | +255 767 478 006 | Makamu.Askofu.Kanda-07@eagt.or.tz | Joshua.Maswi@eagt.or.tz |
| Rev. Lameck Nkumba Nzula | Katibu wa Kanda | +255 752 070 255 | Katibu.Kanda-07@eagt.or.tz | Lameck.Nkumba@eagt.or.tz |
| Rev. Musa Isaya Onyango | Mhazina wa Kanda | +255 758 177 338 | Mhazina.Kanda-07@eagt.or.tz | Musa.Onyango@eagt.or.tz |